Semina ya FBS isiyolipishwa kufanyika Nyeri, Kenya
Jiji, nchi: Chaka, Kenya
Mahali: Chaka Brookside-Mweiga road Honbreeze Garden
Tarehe: Tarehe 17 Novemba, 2023
Saa:13:00-17:00 GMT+3 (Saa za Afrika Mashariki)
Mada ya semina: Kufanya biashara ya moja kwa moja na wataalamu wa FBS
Mada za kujadiliwa:
- Kufanya biashara na FBS
- Kufanya biashara kama anayeanza
- Kufanya biashara kama mfanyabiashara shupavu
- Habari za biashara
Ratiba ya semina:
13:00-13:15 Ufunguzi
13:15-14:00 Utangulizi mfupi wa FBS
14:00-14:15 Ratiba ya siku
14:15-14:30 Mapumziko
14:30-15:30 Jinsi ya kufanya biashara kama anayeanza na kufikia kiwango cha utaalamu
15:30-16:00 Jinsi ya kufungua akaunti za biashara na za mshirika katika FBS. Jinsi ya kuunganisha akaunti za FBS na MT4 na MT5
16:00-16:45 Kufanya biashara moja kwa moja
16:45-17:00 Maswali na Majibu
Wasemaji:
George Kiai Macharia, meneja wa mauzo wa FBS nchini Kenya
Hadhira: Wanaoanza, wataalamu na washirika
Maelezo ya ziada:
- Lugha tumizi kwenye semina hii ni Kiswahili.
- Viti ni vichache.
- Vinywaji havitalipishwa.
- Bidhaa maalum zitatolewa kwa washiriki watakaoweka $100 na zaidi.